Sunday, May 20, 2012

Kwa masikitiko naomba kutoa taarifa hii, iliyonifikia jioni ya leo...........

Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya new habari (2006) ltd, bwana Hussein Bashe , leo amempiga mfanyakazi wake bwana fred okoth. kipigo hicho kilimshukia bwaa okoth baada ya kudai kuwa bwana bashe amekuwa ni sehemu kubwa ya kurudisha nyuma tasnia ya uandishi wa habari, kwa kuendeleza maslahi binafsi, kutowalipa mishahara. bwana Okoth aliendelea kuwa , bwana bashe ni mbadhilifu baada ya kutafuna shilingi milioni 40 zilizotolewa na TANZANIA MEDIA FUND (TMF).Hao ndipo bwana bashe alipopatwa na hasira na kumshusia kipondo mwana habari huyo.

baada ya purukushani hilo bwana bashe alimpiga mwana habari huyo kwa tube light ambayo ilipelekea kupasuka kichwani na kushonwa nyuzi 3. bwana bsge ajulikani aliko.CHANZO FB YA CYPRIAN MUSIBA

0 comments:

Post a Comment