Baraza
hilo lilikuwa chini ya uongozi wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Slaa na
Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mabere Marando.
Kwa ujumla, Dkt. Slaa na Mabere Marando,wamewafafanulia watu wa Iramba masuala yaliyoko kwenye Rasimu ya Katiba Mpya ambapo wananchi wengi walionesha kutoa maoni yao, wakiungana na Tume ya Katiba kwenye masuala mengi, yakiwemo maadili ya taifa, tunu za taifa, muundo wa muungano, mambo ambayo CCM inakataa yasiwemo kwenye Katiba Mpya.
Mwigulu Nchemba, ambaye ni kiongozi wa juu wa CCM kutokea Iramba, imeelezwa kuwa alikuwepo Kiomboi kusikiliza mkutano wa Dkt. Slaa, akiwa kwa mbali.
Wananchi wa Kiomboi, walidai kuwa polisi wenye silaha na mavazi ya kutisha wamemwagwa tangu jana, ikiwa ni mwendelezo wa CCM kutumia jeshi hilo, kuwaogopesha wananchi wasihudhurie mkutano huo, lakini walisema kuwa mikutano ya CHADEMA siku zote inazungumzia maslahi yao, hivyo hawathubutu kuukosa.
-----------------------------------

0 comments:
Post a Comment