Thursday, July 18, 2013

 
 
 
UNDP has provided start up funds for the Malawi-Tanzania lake dispute mediation.

The Southern Africa Development Corporation (SADC) Forum of Former Heads of State and Government had asked Malawi and Tanzania to provide resources for the mediation, as the regional bloc has no funding for the exercise. The organisation chaired by former Mozambican President Joachim Chissano, said it would not guarantee a speedy mediation due to logistical challenges.

“We have developed a work plan and timeframe with a proposal that probably the mediators should finalise their work by September 2013. I contacted UNDP who have since provided the start up financial resources for

 
 
KAMPALA, UGANDA - Kilimanjaro International Airport near Arusha, in Tanzania was named the overall top airport in terms of attracting new airlines and marketing by the Routes Africa Summit 2013 that ended in Kampala.

The airport according to Routes has attracted over 14 international and regional airlines in few years. Its passenger haulage is just below 4 million passengers per year.

According to Nigel Mayes VP Commercial – Routes, UBM Live Kilimanjaro airport has showed tremendous growth overtaking a number of airports in Africa in terms of arrivals.

“Kilimanjaro International Airport has delivered true route development results. Launching three new international airlines, Qatar Airways, Kenya Airways and Turkish Airlines, in the last year is a fantastic 

 
 
Wadau,

Safari ya kupambana na ufisadi katika nchi hii ni ngumu sana.

Leo kuanzia saa 5 hadi saa 8:30 mchana, Mhariri Mtendaji wa Jamhuri, Deo Balile, amehojiwa Makao Makuu ya Polisi kuhusu habari iliyochapishwa kwenye Jamhuri inayohusu “Ufisadi ujio wa marais 11”

Kwa bahati nzuri, habari nzima wanaikubali kwamba ni ya kweli! Kasoro pekee eti ni matumizi ya barua ya Ikulu iliyokuwa na neno “Secret” ambayo ilikuwa na majina tu.

Anashitakiwa kwa kosa la "Kuchapisha Nyaraka za Siri", jambo ambalo ni kinyume cha Sheria ya Usalama, kifungu 5(1). Nimemwekea dhamana hadi Ijumaa saa 4 asubuhi.

Angalizo: 
Huu ni mwendelezo wa Serikali kukwepa kuwashughulikia wezi na wafujaji wa fedha za umma zaidi ya Sh bilioni 8 kwenye Mkutano wa Smart Partnership, badala yake wameamua kuhangaika na neno moja tu “Secret”. Hivi kweli neno “secret” ni kero na hatari zaidi kuliko hoja yenyewe ya kile kilichoandikwa?

Nawasilisha.
Manyerere Jackton
 
 
Picture
Bw. Omary Hassan katika picha ya pamoja na uongozi wa taasisi ya PETI na baadhi ya wanafunzi wa Perfect Education of Tourism and Institutions (PETI)
Picture
Akina mama nao walihusika katika kuchangia maoni ambapo wengi wao wameomba mradi huo utakapoanza kuwepo na kipindi maalum katika radio jamii ya wilaya ya Karagwe cha kuwaelimisha waume zao kuhusu swala la unywaji Pombe kupita kiasi ambao unapelekea uvunjifu wa amani katika nyumba zao.
Mashirika ya UNDP na UNESCO yameanzisha mradi wa pamoja wenye lengo la kuhamasisha ushiriki wa jamii miongoni mwa vijana, wanawake na walemavu katika maendeleo na kudumisha amani nchini Tanzania.

Kama inavyojulikana, haiwezekani kuwa na maendeleo bila kuwa na amani, na haiwezekani kuwa na amani bila kuwa na maendeleo. Ni kwa sababu hiyo, Jumuiya ya Kimataifa inatambua kuwa moja ya mikakati msingi ya kujenga amani ni kuwa na msingi thabiti wa uchumi jamii.

Pia kuwezesha raia wote kuhusisha katika kutoa maamuzi ni kuweka msimamo katika maendeleo endelevu.

 
 
The Clinton Foundation announced a partnership with the Government of the Netherlands to implement Climate-Smart Agriculture (CSA) in Malawi and Tanzania.

The Government of the Netherlands will invest $3 million to expand the Clinton Development Initiative’s (CDI) smallholder farming program, adopted by President Banda in September 2012 as a cornerstone of Malawi’s national agriculture strategy, supported by international partners such as the World Bank, to amplify CDI’s positive impact on the environment.

In support of the Climate Smart Agriculture Alliance, to be launched in South Africa later this year, the Clinton Foundation and Dutch government are partnering to scale-up Climate Smart Agricultural practices and increase the household incomes of smallholder farmers.

Read more
 
 
 
 
 
 
Despite pledges for healthcare access for all, many groups in Tanzania face discrimination.

When Mohammed*, a 24-year-old gay man in Dar es Salaam, Tanzania, went to a government hospital for treatment for a sexually transmitted infection that he believed was anal gonorrhea, the doctor’s response was hostile. “But how? You’re a man. How is it that you have gonorrhea behind, rather than in front?”

Mohammed explained that he has sex with men. “This is a big sin before God”, the doctor replied. “Your illness is a result of your own choices.” Turned away, Mohammed was forced to seek treatment at an expensive private clinic.

Access for allThis week, African leaders are meeting in Abuja, Nigeria, for an African Union (AU) special summit on HIV, tuberculosis and malaria. The summit will review the status of African governments’ national responses to HIV and other infectious diseases, and discuss strategies to enhance the continent’s approach. The summit’s conference note particularly refers to the need to ensure universal access to treatment for “the poor and most marginalised people".

Though many African countries have made great strides in tackling HIV, the AU correctly recognises that some of the most marginalised people continue to fall through the cracks. These include ‘key populations’ – those most at risk of being infected with or transmitting HIV, including sex workers, men who have sex with men (MSM), and people who inject drugs. In Tanzania, Mohammed’s experience of discriminatory treatment in the health sector is disturbingly common. I found many such cases when researching a recent report by Human Rights Watch and the Wake Up and Step Forward Coalition, a Tanzanian network for MSM.

Read more
 
 
Picture
Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Bi.Rukia Mtingwa(katikati)akiongea na baadhi ya kinamama wajasiriamali wadogowadogo wanaofanya biashara katika soko la Temeke Sterio jijini Dar es Salaam wakati walipofika sokoni hapo kutoa mikopo isiyokuwa na riba kwa kinamama hao kupitia mradi wa MWEI.
Wanawake 400 katika wilaya ya Temeke wamenufaika  na  mikopo isiyokuwa na riba,Hii ni katika utekelezaji wake wa azima ya  kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kubadili maisha ya wanawake  kwa kuwawezesha kukuza mitaji ya biashara na kuongeza kipato katika familia, kampuni hiyo imepanua wigo wa mpango wake wa kusaidia wanawake wanaojishughulisha na biashara ndogondogo - MWEI ambapo sasa inawafikia wanawake hata wa mijini.

Meneja wa mpango huo uitwao MWEI Grace Lyon ameyasema hayo wakati wa zoezi la kuwapatia mikopo nafuu isiyo na riba wala dhamana wanawake wajasiriamali zaidi ya 400 wa Wilayani temeke Jijijini Dar es Salaam.

Lyona emesema baada ya mpango huo kuleta mafanikio makubwa kwa wanawake wa vijijini pamoja na

 
 
Ndege ya kampuni ya Coastal inayofanya safari zake kutokea Dar kwenda kwenye miji na mapori karibu yote yenye airstrips hapa nchini ikiwa imebinuka huko Kiwanja cha ndege cha Arusha baada ya wahudumu wake kukosea namna ya upangaji wa mizigo ndani ya ndege hiyo na pia kutokuweka vifaa maalum vya usalama vya kuzuia kubinuka! Hili ni tatizo la kuchanganya Uswahili na mambo ya kitaalamu!

--- Picha, maelezo: PakaJimmy via JamiiForums

0 comments:

Post a Comment