Mshehereshaji Bi. Rose akiendesha shughuli yenyewe (picha na via kajunason.blogspot.com)
Jumla ya shilingi Milioni 323
zilipatikana katika harambee hiyo ambapo katika hizo, fedha taslimu
zilikuwa shilingi milioni 70 na ahadi ya milioni 253/=. Hafla hiyo
ilifanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam (picha via
kajunason.blogspot.com)
0 comments:
Post a Comment