Sunday, July 15, 2012

 
 Mkurugenzi wa Radio 5 Roberty France akiwa anawapa maelezo wajumbe kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, waliotembelea kituo hicho akiwemo Mbunge wa Kondoa Juma Nkamia pamoja na mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari
 Mkurugenzi wa Radio 5, Robert 'Bob' Lowassa akibadilishana mawazo na katibu wa kamati hiyo
 Baadhi ya wabunge wakifanyiwa mahojiano maalum ndani ya Studio za Redio 5 ya mjini Arusha.
 Picha ya kumbukumbu ilipigwa ndani ya Mjengo wa Radio 5
 Wabunge mbalimbali na wafanyakazi wa Radio 5 walipata fursa ya kulamba picha ya kumbukumbu namna hii.

Mtangazaji Mkongwe nchini, Aboubakar Liongo akilamba picha ya kumbukumbu.

0 comments:

Post a Comment