Mayai ya samaki ambayo yana protein na mafuta inasemekana kuwa nayo ni
mazuri sana kwa ngozi ambapo mask hii ya mayai ya samaki unaweza
kuifanya mwenyewe nyumbani ambapo
itakusaidia kuboresha rangi ya uso wako na hufanya ngozi yako kuwa
soft.
Mwanadada Angelina Jolie ndio amekuwa akitumia mask hii ya mayai ya
samaki kwa kupaka kwenye ngozi yake toka mwaka 2007 ili aweze kuendelea
kuonekana kijana.
Na mayai haya yaki ya rangi nyeusi na nyekundu ambapo mask hii
anayotumia Angelina huwa anaitumia kupaka uso wake mara 2 kwa wiki.
Jinsi ya kutengeneza mask hii nyumbani
1 tbsp. salmon caviar/ mayai ya samaki
1 tbsp. nourishing cream/ cream
Nourshing cream ambapo unaponunua zipo za aina nyingi lakini angalia ni laziama iwe norshing cream na changanya mayai haya ya samaki/ salmon caviar na norshing cream na koroga mpaka iwe nzito kwa ajili ya kupaka.
Kwanza safisha uso wako kwa cleanser kwa ajili ya kufungua vijitundu kwenye ngozi ili kuwezesha mask hii kupenya kwenye ngozi yako vizuri..

Paka mask yako kwenye uso wako na shingo na kaa nayo kwa muda wa dakika 20 kisha indoe kwa kuosha na maji ya moto.
Mask hii ya mayai ya samaki pia unatakiwa kupaka
kutokana na ngozi yako basi ukitaka kujua wewe mwenye ngozi kavu au ya
mafuta mchanganyiko wako unatakiwa kuwa na nini endelea kutembelea humu
nitakujuza.
0 comments:
Post a Comment