Afisa wa Idara ya utoaji wa damu
kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama kanda ya Mashariki, Judith
Goshashi akimtoa damu mwanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya
Kondoa, Levina Peter wakati wa maadhimisho ya siku ya mchangiaji damu
yaliyofanyika kikanda wilayani hapa juzi.
Meneja wa Mpango wa Taifa wa Damu
Salama kanda ya Mashariki, Grace Mlingi akitoa taarifa kwa wakazi wa
wilaya ya Kondoa juu ya uchangiaji damu wakati wa maadhimisho ya siku ya mchangiaji damu yaliyofanyika kikanda wilayani hapa juzi.
(Picha na Masoud Masasi wa Dodoma yetu Blog)
0 comments:
Post a Comment