Mwenyekiti wa Bodi ya Precision Air (PW), Michael Shirima, (Kushoto) akiteta jambo na abiria wa kwanza kununua tiketi ya safari...
Mshitakiwa wa kesi ya wizi wa fedha za EPA ajipiga risasi na kufa
MSHITAKIWA katika kesi ya wizi wa zaidi ya Shilingi bilioni 5 za Benki Kuu ya Tanzania kutoka katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu...
Hujuma nyingine Bandarini Dar, Dkt. Mwakyembe aagiza kikao cha dharura kifanyike
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ameshitukia hujuma nzito katika bandari ya Dar es Salaam, ikihusisha kuchomolewa kwa kipengele...
Umati wa Mkutano wa Waislamu Mtwara kuhusu mpango kuipeleka gesi Dar es Salaam
Kama ulisikiliza kipindi cha Amka na PRIDE FM cha asubuhi ya Ijumaa, “ audio PRIDE fm: Ajuza agoma gesi kwenda Dar; Shura ya Maimamu kuto...
Uteuzi wa Rais Kikwete kwa Wenyeviti: Msambichaka - TPA; Kaombwe - TRL
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Wenyevi...
Kenya yabeba sifa kimataifa kwa ‘kuikamatia’ Tanzania meno ya Tembo vipande 638
Serikali ya Kenya imekamata meno 638. Mzigo huo wa kilogramu 2,000 ulikuwa kwenye kontena lililotoka Tanzania. Katika duru z...
Madiwani Bukoba walabuana na kufikishwa polisi
Madiwani wawili wanaoziwakilisha kata mbili ndani ya Manispaa ya Bukoba wamechapana makonde baada ya kutokea mabishano katika kikao cha ma...
Muuguzi afikishwa mahakanai kwa kughushi cheti
Muuguzi mwandamizi Gladness Msemo, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka manne...
Serikali yakata rufaa kupinga Mahakama Kuu kutengua Ubunge wa Aeshi Hilaly
Aeshi Hilaly SERIKALI imekata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga uliomuondoa madarakani aliyekuwa Mbunge wa Su...
Ubakaji, Ulawiti: Wanavyuo IFM waandamana hadi Wizara ya Mambo ya ndani
Wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha cha jijini Dar es Salaam (IFM) wameandamana leo majira ya adhuhuri hadi kwenye Wizara ya Mambo ...
Said Mtanda (Mb) apinga madai ya maandamano ya WanaMtwara
MBUNGE wa Mchinga mkoani Lindi, Said Mtanda (CCM), amebeza maandamano ya wananchi wa Mtwara yaliyofanyika hivi karibuni kupinga gesi kupe...
NENO KUTOKA KWA C.E.O WA BAHARI YA MAARIFA.
Ndugu wasomaji wa gazeti tando la BAHARI YA MAARIFA, nawatakia heri ya mwaka mpya 2013. Pia niwaombe radhi kwa niaba ya timu nzima ya uongo...
Kauli ya Prof. Lipumba, CUF kuhusu gesi na madai ya Wananchi wa Mtwara
Waandishi wa Habari wakimsiliza mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba akielezea suala la gesi MADAI YA WANANCHI WA MTWARA YANA MISINGI...
Kinana amepewa dhamana kukisafisha CCM wakati yeye ni mchafu - Nassari
MBUNGE wa Jimbo la Arumeru Mashariki (CHADEMA), Joshua Nassari, amedai kuwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdluhaman Kinana ni hatari kwa rasilimali...
Aliyetangaza kugombea Urais Tanzania ajivua uanachama CHADEMA
Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Mkoa wa Tanga, Deogratius Kisandu, ametangaza kujivua uanachama. Uamuzi huo wa Kisandu umekuja sik...
CHADEMA tunaposigana tunampa nafasi adui CCM - Mbowe, Karatu
Akizungum z ia mgogoro ndani ya chama hicho wilayani Karatu, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman M...
CHADEMA SINGIDA YAFAFANUA DIWANI KUJIUZULU
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Singida, kimetoa ufafanuzi kuhusu sababu zilizomfanya aliyekuwa Diwani wa Iseke, Amosi ...
Makinda atabiria kifo CCM
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda • Mangula atoboa siri ya uteuzi wake ...
Suala la Fomu TSM9: Wanafunzi, Walimu watupiana lawama
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Bungu, Dismas Kimweli Habari imeandikwa na Mwandishi wa Thehabari.com , Korogwe, Tanga -- SUALA la kuwe...
Suala la Fomu TSM9: Wanafunzi, Walimu watupiana lawama
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Bungu, Dismas Kimweli Habari imeandikwa na Mwandishi wa Thehabari.com , Korogwe, Tanga -- SUALA la kuwe...
Majina ya wanaoitafuna TANESCO yatajwa - @JJMnyika
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), ametaja orodha ya watu waliohusika na uzembe katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Akitaj...
Wanahabari Afrika Masharini wanolewa kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari
Mwezeshaji wa mafunzo ya siku tatu kwa waandishi wa Habari juu ya Wajibu wa Vyombo vya Habari katika utekelezaji wa Soko la Pamoja la J...