Hatua ya watu hao kusalimisha vitu hivyo imekuja kufuatia hatua ya mkuu wa wilaya hiyo Subira Mgalu ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kuwatangazia kwamba wote walifanya jamabo hilo watasakwa na kuchukuliwa hatua za kisheria.
Baadhi ya vitu vilivyoibwa kutoka kwenye gari la Marehemu Sharo Milionea vikiwa katika ofisi ya mwenyekiti wa kijiji hicho
0 comments:
Post a Comment