Tangu
Disemba 1, 1988 dunia imekuwa ikiadhimisha siku ya UKIMWI duniani. Wazo
la kuadhimisha siku hiyo lilitolewa na James W. Bunn naThomas Netter
ambao walikuwa ni maofisa habari (Global Programme on AIDS) kwenye
Shirika la Afya Duniani. Dhumuni la kuadhimisha siku hiyo ni kutoa fursa
kwa watu duniani kote kuungana katika mapambano dhidi ya VVU.
Utepe Mwekundu
Huu ni wakati muafaka kwa jamii nzima wakiwemo wanamichezo pia kutafakari juu ya janga la UKIMWI.
UKIMWI UNAUA! CHUKUA HATUA SASA, JILINDE NA MLINDE MWENZAKO…
Utepe Mwekundu
Huu ni wakati muafaka kwa jamii nzima wakiwemo wanamichezo pia kutafakari juu ya janga la UKIMWI.
UKIMWI UNAUA! CHUKUA HATUA SASA, JILINDE NA MLINDE MWENZAKO…
0 comments:
Post a Comment