Wakazi wa mtaa wa Mto,
Manispaa ya Morogoro wakimzuia Aziz Salh ambaye ni mmiliki wa nyumba
iliyoungua jana mjini humo, alipotaka kuingia ndani ili kuokoa mali zake
wakati moto ukiendelea jana machana. Picha na Juma Mtanda/Gazeti la
Mwananchi)
Nyumba ya mkazi wa Manispaa ya Morogoro ilipokuwa ikiungua huku wakazi wakiangalia. (Picha na Juma Mtanda/Gazeti la Mwananchi)
0 comments:
Post a Comment