Mheshimiwa
Godbless Lema wa Chadema akikagua Helikopter ikiwa ni moja ya vitendea
kazi vya kampeni za 'M4C'. Mheshimiwa Lema, pamoja na kufanya maandalizi
hayo ya vitendea kazi, kesho Jumanne Agosti 7 anatarajiwa kufungua tawi
la Chadema jijini London saa mbili usiku, Thatched House Barking kwa
ushirikiano mkubwa na Makamanda wa Serengeti Freight Forwarders.
0 comments:
Post a Comment