Tuesday, May 15, 2012


Muonekano wa blog ya CCM iliyozinduliwa mjini Dodoma jana jioni.
Muonekano wa tovuti ya CCM iliyozinduliwa mjini Dodoma jana.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua tovuti pamoja na blog ya CCM katika viwanja vya ofisi kuu ya CCM mkoani Dodoma jana jioni. 

Rais Jakaya Kikwete pamoja na viongozi wengine wakiangalia blog hiyo mara baada ya kuizindua rasmi jana jioni mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wanachama wa CCM waliohudhuria uzinduzi wa tovuti na blog ya CCM katika viwanja vya makao makuu ya CCM mjini Dodoma jana jioni.

Sehemu ya wanachama wa CCM waliohudhuria uzinduzi wa blog hiyo uliofanyika mjini Dodoma jana jioni.

0 comments:

Post a Comment