Thursday, May 17, 2012

KWAHERI PATRICE MUTESA MAFISANGO, MUNGU AIWEKE ROHO YAKO MAHALA PEMA PEPONI, SIMBA FANS R REALLY GONNA MISS U BRO! TULIKUPENDA SANAA MUNGU AMEKUITA GHAFLA JEMBE LETU, REST IN PEACE PATRICE MAFISANGO.
KIUNGO MAHIRI WA SIMBA.PATRICK MOTESA MAFISANGO. AMEFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI ILIYOTOKEA HAPO TAZARA WAKATI AKIMKWEPA MUENDESHA PIKIPIKI.
MUNGU AKULAZE PEPONI PEMA.
Pole Mh. Aden Rage, Geofrey Nyange na viongozi na wachezaji wote wa Simba Sports Club, wa Azam FC na Timu ya Taifa ya Rwanda. pole members wenzangu wa Simba Damu Fans. na wapenzi na mashabiki wa Simba Sports Club. RIP PATRICE MUTESA MAFISANGO.

0 comments:

Post a Comment