Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), John Mnyika.
Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema),
John Mnyika ameshinda kesi iliyokuwa inamkabili ya uchaguzi wa jimbo
hilo wa mwaka 2010, baada ya Mahakama kutupilia mbali mashitaka yote
matano yaliyokuwa yakimkabili ambayo ni :
1)Kwamba Mnyika alimtuhumu kuuza nyumba za UWT
2)Kutumia Laptop za Mnyika Kuhesabu kura
3)Kuingia watu wengi wa CHADEMA ktk chumba cha kuhesabia kura
4)Kuzidi kwa kura hewa 16,000
5)Kukosewa kwa karatasi za kujumulisha kura (form)
2)Kutumia Laptop za Mnyika Kuhesabu kura
3)Kuingia watu wengi wa CHADEMA ktk chumba cha kuhesabia kura
4)Kuzidi kwa kura hewa 16,000
5)Kukosewa kwa karatasi za kujumulisha kura (form)
Mlalamikaji Hawa Nghumbi (CCM) anatakiwa kulipa gharama zote za kesi hiyo kama ilivyoamriwa na Mahakama.
0 comments:
Post a Comment