Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Azania wakiwa wamejipanga kumpokea mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha Sita ya ...
Mwenyekiti wa Bodi ya Precision Air (PW), Michael Shirima, (Kushoto) akiteta jambo na abiria wa kwanza kununua tiketi ya safari...
MSHITAKIWA katika kesi ya wizi wa zaidi ya Shilingi bilioni 5 za Benki Kuu ya Tanzania kutoka katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu...
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ameshitukia hujuma nzito katika bandari ya Dar es Salaam, ikihusisha kuchomolewa kwa kipengele...
Kama ulisikiliza kipindi cha Amka na PRIDE FM cha asubuhi ya Ijumaa, “ audio PRIDE fm: Ajuza agoma gesi kwenda Dar; Shura ya Maimamu kuto...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Wenyevi...
Serikali ya Kenya imekamata meno 638. Mzigo huo wa kilogramu 2,000 ulikuwa kwenye kontena lililotoka Tanzania. Katika duru z...
Madiwani wawili wanaoziwakilisha kata mbili ndani ya Manispaa ya Bukoba wamechapana makonde baada ya kutokea mabishano katika kikao cha ma...
Muuguzi mwandamizi Gladness Msemo, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka manne...
Aeshi Hilaly SERIKALI imekata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga uliomuondoa madarakani aliyekuwa Mbunge wa Su...
Wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha cha jijini Dar es Salaam (IFM) wameandamana leo majira ya adhuhuri hadi kwenye Wizara ya Mambo ...
MBUNGE wa Mchinga mkoani Lindi, Said Mtanda (CCM), amebeza maandamano ya wananchi wa Mtwara yaliyofanyika hivi karibuni kupinga gesi kupe...